Zaburi 34:3-5
Zaburi 34:3-5 SRUV
Mtukuzeni BWANA pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja. Nilimtafuta BWANA, naye akanijibu, Akaniokoa kutoka kwa hofu zangu zote. Mwelekezeeni macho, mpate kufurahi, Na nyuso zenu hazitaaibishwa kamwe.