Zaburi 34:3-5
Zaburi 34:3-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu pamoja nami, sote pamoja tulisifu jina lake. Nilimwomba Mwenyezi-Mungu naye akanijibu, na kuniondoa katika hofu zangu zote. Mgeukieni Mungu mpate kufurahi; nanyi hamtaaibishwa kamwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 34Zaburi 34:3-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtukuzeni BWANA pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja. Nilimtafuta BWANA, naye akanijibu, Akaniokoa kutoka kwa hofu zangu zote. Mwelekezeeni macho, mpate kufurahi, Na nyuso zenu hazitaaibishwa kamwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 34