Zab 34:3-5
Zab 34:3-5 SUV
Mtukuzeni BWANA pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja. Nalimtafuta BWANA akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote. Wakamwelekea macho wakatiwa nuru, Wala nyuso zao hazitaona haya.