Zaburi 34:3-5
Zaburi 34:3-5 NEN
Mtukuzeni BWANA pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja. Nilimtafuta BWANA naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote. Wale wamtazamao hutiwa nuru, nyuso zao hazifunikwi na aibu kamwe.