Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 17:1-5

Zaburi 17:1-5 SRUV

Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila. Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili. Umenijaribu moyo wangu, umenijia usiku, Umenichunguza usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose, Kuhusu matendo ya wanadamu; Kwa neno la midomo yako Nimejiepusha na njia za wenye jeuri. Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa.

Soma Zaburi 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 17:1-5