Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 17:1-5

Zab 17:1-5 SUV

Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila. Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili. Umenijaribu moyo wangu, umenijilia usiku, Umenihakikisha usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose, Mintarafu matendo ya wanadamu; Kwa neno la midomo yako Nimejiepusha na njia za wenye jeuri. Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa.

Soma Zab 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 17:1-5