Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 131:1-2

Zaburi 131:1-2 SRUV

BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala mambo yanayozidi nguvu zangu. Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa kunyonya Kifuani mwa mama yake; Roho yangu ni kama mtoto, Aliyeachishwa kunyonya.

Soma Zaburi 131

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 131:1-2