Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 131:1-2

Zaburi 131:1-2 NEN

Moyo wangu hauna kiburi, Ee BWANA, macho yangu hayajivuni; sijishughulishi na mambo makuu kunizidi wala mambo ya ajabu mno kwangu. Lakini nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu; kama mtoto aliyeachishwa kunyonya na mama yake, kama mtoto aliyeachishwa kunyonya ndivyo ilivyo nafsi iliyoko ndani yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 131:1-2