Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 131:1-2

Zab 131:1-2 SUV

BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu. Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.

Soma Zab 131

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 131:1-2