Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 105:2-4

Zaburi 105:2-4 SRUV

Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Yasimulieni maajabu yake yote. Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA. Mtafuteni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote.

Soma Zaburi 105