Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Zitafakarini ajabu zake zote. Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA. Mtakeni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote.
Zab 105:2-4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video