Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 13:44-46

Mathayo 13:44-46 SRUV

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyositirika katika shamba; ambayo mtu alipoiona, aliificha; na kwa furaha yake akaenda akauza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile. Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri; naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.

Soma Mathayo 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 13:44-46