Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 13:44-46

Mt 13:44-46 SUV

Tena ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyositirika katika shamba; ambayo mtu alipoiona, aliificha; na kwa furaha yake akaenda akauza alivyo navyo vyote, akalinunua shamba lile. Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri; naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.

Soma Mt 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 13:44-46