Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 22:15-18

Mwanzo 22:15-18 SRUV

Malaika wa BWANA akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema BWANA, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee, katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki lango la adui zao; na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.

Soma Mwanzo 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 22:15-18