Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 22:15-18

Mwanzo 22:15-18 BHN

Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni, akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu kwamba kwa kuwa umefanya hivi, wala hukuninyima mwanao wa pekee, hakika nitakubariki, na wazawa wako nitawazidisha kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ufuoni mwa bahari. Wazawa wako wataimiliki miji ya adui zao. Kutokana na wazawa wako mataifa yote duniani yatabarikiwa kwa sababu wewe umeitii amri yangu.”

Soma Mwanzo 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 22:15-18