Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 22:15-18

Mwa 22:15-18 SUV

Malaika wa BWANA akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema BWANA, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee, katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia; kwa sababu umetii sauti yangu.

Soma Mwa 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 22:15-18