Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Samweli 22:50-51

2 Samweli 22:50-51 SRUV

Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. Yeye ni mnara wa wokovu kwa mfalme wake; Amfanyia fadhili masihi wake, Kwa Daudi na wazawa wake, hata milele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Samweli 22:50-51