2 Samueli 22:50-51
2 Samueli 22:50-51 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu, nitaliimbia sifa jina lako. Mungu humjalia mfalme wake ushindi mkubwa; humwonesha fadhili zake huyo aliyemweka wakfu, naam, humfadhili Daudi na wazawa wake milele.”
Shirikisha
Soma 2 Samueli 222 Samueli 22:50-51 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. Yeye ni mnara wa wokovu kwa mfalme wake; Amfanyia fadhili masihi wake, Kwa Daudi na wazawa wake, hata milele.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 22