2 Sam 22:50-51
2 Sam 22:50-51 SUV
Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. Ampa mfalme wake wokovu mkuu; Amfanyia fadhili masihi wake, Daudi na mzao wake, hata milele.