Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 7:13-14

1 Wafalme 7:13-14 SRUV

Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Hiramu kutoka Tiro. Naye alikuwa mwana wa mwanamke mjane wa kabila la Naftali, na babaye alikuwa mtu wa Tiro, mfua shaba; naye alikuwa mwingi wa hekima na akili, stadi wa kufanya kazi zote za shaba. Akamfikia mfalme Sulemani, akamfanyia kazi yake yote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 7:13-14