Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 7:13-14

1 Fal 7:13-14 SUV

Mfalme Sulemani akatuma watu kumleta Huramu kutoka Tiro. Naye alikuwa mwana wa mwanamke mjane wa kabila ya Naftali, na babaye alikuwa mtu wa Tiro, mfua shaba; naye alikuwa mwingi wa hekima na akili, mstadi wa kufanya kazi zote za shaba. Akamfikilia mfalme Sulemani, akamfanyia kazi yake yote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 7:13-14