Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rut 1:16-17

Rut 1:16-17 SUV

Naye Ruthu akasema, Usinisihi nikuache, Nirejee nisifuatane nawe; Maana wewe uendako nitakwenda, Na wewe ukaapo nitakaa. Watu wako watakuwa watu wangu, Na Mungu wako atakuwa Mungu wangu; Pale utakapokufa nitakufa nami, Na papo hapo nitazikwa; BWANA anitende vivyo na kuzidi, Ila kufa tu kutatutenga wewe nami.

Soma Rut 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rut 1:16-17