Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ruthu 1:16-17

Ruthu 1:16-17 NEN

Lakini Ruthu akajibu, “Usinisihi nikuache au niache kukufuata. Utakakokwenda nami nitakwenda, na wewe utakapoishi nitaishi. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu. Pale utakapofia nami nitafia hapo, na papo hapo nitazikwa. BWANA na aniadhibu vikali, kama kitu kingine chochote kitanitenga nawe isipokuwa kifo.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ruthu 1:16-17