Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 9:25-26

Rum 9:25-26 SUV

Ni kama vile alivyosema katika Hosea, Nitawaita watu wangu wale wasiokuwa watu wangu, Na mpenzi wangu yeye asiyekuwa mpenzi wangu. Tena itakuwa mahali pale walipoambiwa, Ninyi si watu wangu, Hapo wataitwa wana wa Mungu aliye hai.

Soma Rum 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 9:25-26