Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 84:11-12

Zab 84:11-12 SUV

Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao, BWANA atatoa neema na utukufu. Hatawanyima kitu chema Hao waendao kwa ukamilifu. Ee BWANA wa majeshi, Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.

Soma Zab 84

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 84:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha