Zaburi 84:11-12
Zaburi 84:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa BWANA, Mungu, ni jua na ngao, BWANA atatoa neema na utukufu. Hatawanyima kitu chema Hao waendao kwa ukamilifu. Ee BWANA wa majeshi, Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.
Shirikisha
Soma Zaburi 84Zaburi 84:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni jua letu na ngao yetu; yeye hutuneemesha na kutujalia fahari. Hawanyimi chochote kilicho chema, wale waishio kwa unyofu. Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi, heri mtu yule anayekutumainia wewe!
Shirikisha
Soma Zaburi 84