Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 84:11-12

Zaburi 84:11-12 NEN

Kwa kuwa BWANA ni jua na ngao, BWANA hutoa wema na heshima; hakuna kitu chema anachowanyima wale ambao hawana hatia. Ee BWANA Mwenye Nguvu Zote, heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 84:11-12