Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 3:16-17

Mt 3:16-17 SUV

Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake; na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

Soma Mt 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 3:16-17