Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 3:16-17

Mathayo 3:16-17 NEN

Naye Yesu alipokwisha kubatizwa, mara alipotoka ndani ya maji, ghafula mbingu zikafunguka, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua na kutulia juu yake. Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, ambaye ninapendezwa sana naye.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 3:16-17