Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayu 19:25-26

Ayu 19:25-26 SUV

Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi. Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu

Soma Ayu 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayu 19:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha