Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 19:25-26

Ayubu 19:25-26 NEN

Ninajua kwamba Mkombozi wangu yu hai, naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 19:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha