Yobu 19:25-26
Yobu 19:25-26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi. Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi, Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu
Shirikisha
Soma Yobu 19Yobu 19:25-26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ninajua kwamba Mkombozi wangu yu hai, naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu
Shirikisha
Soma Yobu 19Yobu 19:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua wazi Mkombozi wangu anaishi, mwishowe yeye atanipa haki yangu hapahapa duniani. Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivyo, nitamwona Mungu kwa macho yangu mwenyewe.
Shirikisha
Soma Yobu 19