Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 14:18-19

Mwa 14:18-19 SUV

Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye juu sana. Akambariki, akasema, Abramu na abarikiwe na Mungu Aliye juu sana, Muumba mbingu na nchi.

Soma Mwa 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 14:18-19