Mwanzo 14:18-19
Mwanzo 14:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Melkisedeki, mfalme wa mji wa Salemu, ambaye alikuwa kuhani wa Mungu Mkuu, akaleta mkate na divai, akambariki Abramu akisema, “Abramu na abarikiwe na Mungu Mkuu, Muumba mbingu na dunia!
Shirikisha
Soma Mwanzo 14Mwanzo 14:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Melkizedeki mfalme wa Salemu akaleta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana. Akambariki, akasema, Abramu na abarikiwe na Mungu Aliye Juu Sana, Muumba mbingu na nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 14