Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 14:18-19

Mwanzo 14:18-19 NEN

Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana. Naye akambariki Abramu, akisema, “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na nchi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 14:18-19