Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 24:13-15

Kut 24:13-15 SUV

Musa akaondoka na Yoshua, mtumishi wake, Musa akapanda mlimani kwa Mungu. Akawaambia hao wazee, Tungojeeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu; na tazameni, Haruni na Huri wapo pamoja nanyi; kila mtu aliye na neno na awaendee. Musa akapanda mlimani, lile wingu likaufunikiza mlima.

Soma Kut 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 24:13-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha