Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 24:13-15

Kutoka 24:13-15 SRUV

Musa akaondoka na Yoshua, mtumishi wake, Musa akapanda mlimani kwa Mungu. Akawaambia hao wazee, Tungojeeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu; na tazameni, Haruni na Huri wapo pamoja nanyi; kila mtu aliye na jambo na awaendee. Musa akapanda mlimani, lile wingu likaufunikiza mlima.

Soma Kutoka 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 24:13-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha