Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 4:15-17

1 Kor 4:15-17 SUV

Kwa kuwa ijapokuwa mna waalimu kumi elfu katika Kristo, walakini hamna baba wengi. Maana mimi ndimi niliyewazaa katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili. Basi, nawasihi mnifuate mimi. Kwa sababu hii nimemtuma Timotheo kwenu, aliye mwanangu mpendwa, mwaminifu katika Bwana, atakayewakumbusha njia zangu zilizo katika Kristo, kama vile nifundishavyo kila mahali katika kila kanisa.

Soma 1 Kor 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 4:15-17