Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 4:15-17

1 Wakorintho 4:15-17 BHN

Maana hata kama mnao maelfu ya walezi katika maisha yenu ya Kikristo, baba yenu ni mmoja tu, kwani katika kuungana na Kristo mimi ndiye niliyewazaeni kwa kuihubiri Habari Njema. Kwa hiyo, nawasihi: Fuateni mfano wangu. Ndiyo maana nimemtuma Timotheo kwenu. Yeye ni mtoto wangu mpenzi na mwaminifu katika kuungana na Bwana. Atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuungana na Kristo; njia ninayofundisha kila mahali katika makanisa yote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 4:15-17