Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 4:15-17

1 Wakorintho 4:15-17 NEN

Hata kama mnao walimu 10,000 katika Kristo, lakini hamna baba wengi. Mimi nilikuwa baba yenu katika Kristo Yesu kwa kuwaletea Injili. Basi nawasihi igeni mfano wangu. Kwa sababu hii ninamtuma Timotheo, mwanangu mpendwa na mwaminifu katika Bwana. Yeye atawakumbusha kuhusu njia za maisha yangu katika Kristo Yesu, ambayo yanakubaliana na mafundisho yangu ninayofundisha katika kila kanisa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 4:15-17