Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wathesalonike 5:15-17

1 Wathesalonike 5:15-17 NEN

Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote. Furahini siku zote; ombeni bila kukoma

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wathesalonike 5:15-17