1 Wathesalonike 5:15-17
1 Wathesalonike 5:15-17 BHN
Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu wote. Furahini daima, salini kila wakati