1 Wathesalonike 5:15-17
1 Wathesalonike 5:15-17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote. Furahini siku zote; ombeni bila kukoma
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:15-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu wote. Furahini daima, salini kila wakati
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 51 Wathesalonike 5:15-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote. Furahini siku zote; ombeni bila kukoma
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 5