Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 The 5:15-17

1 The 5:15-17 SUV

Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote. Furahini siku zote; ombeni bila kukoma

Soma 1 The 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 The 5:15-17