1 Samweli 10:17-18
1 Samweli 10:17-18 NENO
Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Mwenyezi Mungu huko Mispa, naye akawaambia, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli: ‘Niliwatoa Israeli kutoka Misri, nami niliwaokoa toka nguvu za Misri na falme zote zilizowadhulumu.’