1 Samueli 10:17-18
1 Samueli 10:17-18 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Mwenyezi Mungu huko Mispa, naye akawaambia, “Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli: ‘Niliwatoa Israeli kutoka Misri, nami niliwaokoa toka nguvu za Misri na falme zote zilizowadhulumu.’
1 Samueli 10:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa. Walipowasili aliwaambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, anasema hivi: Niliwatoa Waisraeli nchini Misri, nikawaokoa nyinyi kutoka kwa Wamisri na falme nyingine zilizowakandamiza.
1 Samueli 10:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa akawaambia wana wa Israeli, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Niliwatoa Waisraeli kutoka Misri, nami niliwaokoa ninyi kutoka kwa mikono ya Wamisri, na ya falme zote zilizowaonea
1 Samueli 10:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa akawaambia wana wa Israeli, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Naliwatoa Israeli kutoka Misri, nami naliwaokoa ninyi na mikono ya Wamisri, na ya falme zote zilizowaonea