1
Luka MT. 1:37
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
kwa maana hapana neno lisilowezekana kwa Mungu.
Linganisha
Chunguza Luka MT. 1:37
2
Luka MT. 1:38
Mariamu akasema, Tazama, mimi mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kwa neno lako. Malaika akaondoka kwake.
Chunguza Luka MT. 1:38
3
Luka MT. 1:35
Malaika akajibu, akamwambia, Roho Mtakatifu atakujia, na nguvu zake Aliye juu zitakutilia kivuli: kwa biyo kitakachozaliwa kitakwitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
Chunguza Luka MT. 1:35
4
Luka MT. 1:45
Na yu kheri aliyesadiki, kwa maana maneno hayo aliyoambiwa na Bwana yatatimizwa.
Chunguza Luka MT. 1:45
5
Luka MT. 1:31-33
Tazama, utachukua mimba, utazaa mwana, utamwita jina lake Yesu. Huyu atakuwa mkuu, atakwitwa Mwana wake Aliye juu; na Bwana Mungu atampa kiti cha Daud baba yake. Ataimiliki nyumba ya Yakobo hatta milele; wala ufalme wake hautakuwa na mwisho.
Chunguza Luka MT. 1:31-33
6
Luka MT. 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu; kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Chunguza Luka MT. 1:30
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video