1
Marko MT. 16:15
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akawaambia, Enendem nlimwenguni mwote, mkaikhubiri injili kwa killa kiumbe.
Linganisha
Chunguza Marko MT. 16:15
2
Marko MT. 16:17-18
Na ishara hizi zitafuatana nao waaminio; Kwa jina langu watafukuza pepo; watasema kwa ndimi mpya; watashika nyoka; hatta wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Chunguza Marko MT. 16:17-18
3
Marko MT. 16:16
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Chunguza Marko MT. 16:16
4
Marko MT. 16:20
Nao wakatoka, wakakhubiri kotekote, Bwana akitenda kazi pamoja nao, na kulithubutishia neno kwa ishara zilizofuatana nalo. Amin.
Chunguza Marko MT. 16:20
5
Marko MT. 16:6
Nae akawaambia, Msistaajabu; muamtafuta Yesu Mnazareti, aliyesulibiwa: amefufuka: bayupo hapa: patazameni pahali walipomweka.
Chunguza Marko MT. 16:6
6
Marko MT. 16:4-5
Hatta walipotazama, wakaona ya kuwa lile jiwe limekwisha kufingirishwa; nalo lilikuwa kubwa nmo. Na wakiingia kaburini wakaona kijana ameketi upande wa kuume, amevaa vazi jeupe: wakastaajabu.
Chunguza Marko MT. 16:4-5
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video