Marko 16:6
Marko 16:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini huyo kijana akawaambia, “Msishangae. Mnamtafuta Yesu wa Nazareti aliyesulubiwa. Amefufuka, hayumo hapa. Tazameni mahali walipokuwa wamemlaza.
Shirikisha
Soma Marko 16Marko 16:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akawaambia, Msistaajabu; mnamtafuta Yesu Mnazareti, aliyesulubiwa; amefufuka; hayupo hapa; patazameni mahali walipomweka.
Shirikisha
Soma Marko 16Marko 16:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye akawaambia, Msistaajabu; mnamtafuta Yesu Mnazareti, aliyesulibiwa; amefufuka; hayupo hapa; patazameni mahali walipomweka.
Shirikisha
Soma Marko 16