1
Marko MT. 15:34
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Na saa tissa Yesu akapiga kelele kwa sauti kuu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? tafsiri yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Linganisha
Chunguza Marko MT. 15:34
2
Marko MT. 15:39
Bassi yule akida, aliyesimama akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa, Mwana wa Mungu.
Chunguza Marko MT. 15:39
3
Marko MT. 15:38
Pazia la patakatifu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini.
Chunguza Marko MT. 15:38
4
Marko MT. 15:37
Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.
Chunguza Marko MT. 15:37
5
Marko MT. 15:33
Ilipokuwa saa sita, pakawa na giza juu ya inchi yote, hatta saa tissa.
Chunguza Marko MT. 15:33
6
Marko MT. 15:15
Pilato akapenda kuwafanyia radhi makutano, akawafungulia Barabba: akamtoa Yesu, baada ya kumpiga mijeledi, asulibiwe.
Chunguza Marko MT. 15:15
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video